Jiunge na mtandao wa Reseller wa DMAX - uza vocha na vifurushi vya intaneti kwa wateja wako, tunashughulikia billing, malipo na MikroTik, wewe unalipwa moja kwa moja.
Wewe unaleta mahali/site, DMAX inasanidi router, internet na kila kitu cha kiufundi - wewe unazingatia wateja na mauzo.
DMAX inatoa internet, router na vifaa vyote
Jaza fomu hapa chini, thibitisha namba yako ya simu kwa OTP, kisha subiri DMAX kukagua na kukuidhinisha.
Baada ya mkataba na deposit, DMAX inaleta router na kusanidi Hotspot/PPPoE/WiFi/VPN kwenye site yako - hakuna kitu cha kiufundi unachohitaji kufanya.
Wateja wananunua vocha mtandaoni (M-Pesa/Tigo/Airtel) au wewe mwenyewe unauza vocha za cash - unaweza pia kuunda vifurushi na speed zako mwenyewe.
Kila mauzo yanajaza wallet yako moja kwa moja - toa fedha muda wowote kwenda M-Pesa/Tigo Pesa/Airtel Money au benki.
Wallet inajazwa moja kwa moja kila mauzo, unaweza kutoa fedha muda wowote.
Billing, vocha, malipo ya mtandaoni (AzamPay) - vyote tayari vipo, hujengi chochote.
Ona mauzo, settlement, SMS cost na ripoti zote za biashara yako muda wowote.
Timu ya DMAX iko nyuma yako kwa masuala ya kiufundi na uendeshaji.